Tshishimbi mchezaji bora mwezi Februari

Kiungo wa klabu ya Young Africans, Papy Kabamba Tshishimbi ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2017-18.

Papy Tshishikbi katik mwezi Februari amefanikiwa kufunga mabao 3 na kutoa pasi moja ya mabao katika michezo 4 aliyocheza na kuisaidia timu yake ya Young Africans kuvuna alama 12.‬

‪Tshishimbi atazawadiwa pesa taslimu milioni 1 kutoka kwa wadhamini wa Ligi Kuu kampuni ya mawasailiank Vodacom, kingamuzi cha Azamtv na tuzo‬.

One Comment

  1. Pingback: Tshishimbi mchezaji bora mwezi Februari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *