Michael Wambura afikishwa Kamati ya Maadili TFF

Kamati ya maadili ya TFF inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura aliyefikishwa kwenye kamati hiyo kwa makosa matatu ya kupokea fedha za TFF malipo yasiyo halali, kugushi barua na kushusha hadhi ya TFF,

Kamati ya Maadili ya TFF inaongozwa na Wakili Mwenyekiti Hamidu Mbwezeleni, Makamu Mwenyekiti  Wakili Steven Wangira hukuwajumbe wakiwa ni Glorious Luoga, Walter Lungu na Amin Bakhresa.

One Comment

  1. Pingback: Michael Wambura afikishwa Kamati ya Maadili TFF

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *