Majeraha ya Aaron Ramsey pigo kwa Arsenal

Kiungo wa klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya Wales Aaron Ramsey anategemewa kukaa nje ya uwanja kwa takribani muda wa wiki 4.

Aaron Ramsey

Aaron Ramsey

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 alipata majeraha kwenye enka katika pambano la FA Cup kati Arsenal na Hull City ambapo Arsenal iliibuka na ushindi wa mabao 4-0.

Katika kipindi hiki ambacho Ramsey atakua nje ya uwanja atakosa mechi za Klabu Bingwa Ulaya, Ligi Kuu Uingereza, kombe la FA pamoja na mechi za kirafiki za timu yake ya Taifa Wales.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *