Zawadi ya Krismasi kwa mshindi wa SportPesa

Krismasi imewahi kumfikia mshindi wa Yombo Dar es Salaam ndugu Saidi Mkwati (38) ambaye siku ya Jumamosi alikabidhiwa bajaji aina ya TVS KIng Deluxe na Frank Gibebe mtangazaji wa kipindi cha Shinda na SportPesa.

Mshindi huyo alikabidhiwa bajaji hiyo mbele ya baba yake, ndugu na marafiki. Saidi aliibuka mshindi wa droo ya 48 baada ya kupigiwa simu tarehe 12 Disemba na kufahamishwa kuwa yeye ndiye mshindi wa siku hiyo.

Akizungumza na mwandishi wetu, Saidi Mkwati alisema “nilishawishika kucheza na SportPesa baada ya kuona matangazo, na mwisho wa siku nikabahatika kushinda bajaji.

Nilipoanza kucheza sikufahamu kuhusu kushinda bajaji ila mwisho wa siku nilipewa taarifa kuwa kuna shindano jingine kwamba unapobeti unaweza kutuma neno shinda kwenda 15888.

“Mara nyingi huwa natumia SportPesa App kwasababu ni nyepesi zaidi katika kuweka ubashiri. Nachowahamasisha watu ni kucheza na SportPesa kwa wingi, bahati zao zipo. Halafu vile vile nataka kuwaondoa uoga watu kuwa wasiamini kuwa michezo hii kuna kupeana.

Hii ni michezo ya bahati, hii ni bahati yangu. Hata wewe ukicheza kwa bidii utashinda. Ukizingatia sijawahi kumiliki bajaji, ila namiliki bajaji kupitia SportPesa, kwa hiyo nashukuru sana.”

“Kila Mtanzania ana nafasi ya kupata TVS King Deluxe kutoka SportPesa. Kushinda bajaji yako sasa ni zawadi nzuri utakayojipa kipindi hiki cha siku kuu. Jiunge na SportPesa kwa kutuma neno Game kwenda 15888, kisha weka ubarishi halafu tuma neno SHINDA kwenda 15888 ili uingie kwenye droo ya kujishindia TVS King Deluxe. Wateja wanaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zetu za huduma kwa wateja ambazo zipo hewani masaa 24 kuwahudumia wateja wetu. Mteja anaweza kupiga simu namba 0658115588, 0764115588 au 0692115588 kupata msaada na taarifa zaidi,” alisema Meneja Uhusiano na Mawasiliano SportPesa Adventina Kiyeyeu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *