Upangaji Ratiba Makundi Kombe la Dunia 2018 leo Urusi

Leo jijini Moscow nchini Urusi shirikisho la soka duniani FIFA litaendesha droo ya upangaji makundi wa timu ( mataifa ) 32 yaliyofuzu ushiriki wa michuano hiyo mikubwa kabisa duniani.

Michuano hiyo itaendeshwa nchini Urusi kama nchi mwenyeji kuanzia mwezi juni mwakani (2018) Ujerumani akisimama kama bingwa mtetezi baada ya kulitwaa kombe hilo kwa mara ya mwisho mwaka 2014 nchini Brazil.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *