Uingereza yatawala Ligi ya Mabingwa Ulaya

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza kuingiza timu tano(5) zilizocheza hatua ya makundi na kufuzu hatua hiyo ya makundi UEFA. Timu hizo ni Manchester United, Chelsea FC, Tottenham, Liverpool na Manchester city.

Chelsea pekee ndio haijaongoza kundi lake kama timu zingine 4 zimemaliza kwa kuongoza makundi yao.

Wakati huo huo Christiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli kila mchezo aliocheza wa hatua ya makundi.

By Samuel Samuel

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *