Twiga Stars kucheza na Zambia (The She-Polopolo) kuwania kufuzu AFCON 2018

Timu ya Taifa ya Wanawake(Twiga Stars) itacheza na Zambia katika mchezo wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake zitakazochezwa Ghana baadaye mwaka huu.

Twiga Stars inatakiwa kucheza mechi zote mbili kati ya April 2 na April 10,2018.

Mchezo huo ni wa raundi ya kwanza

One Comment

  1. Pingback: Twiga Stars kucheza na Zambia (The She-Polopolo) kuwania kufuzu AFCON 2018

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *