Timu 24 zilizovuka mzunguko wa kwanza ASFC

Jumla ya timu 24 zimekuka hatua ya kwanza ya michuank ya Kombe la Shirikisho (ASFC) kutoka katika ligi ya mabingwa wa mikoa na ligi daraja la pili nchini.

Tinu hizo 24 zinaratajiwa kujumuika na timu 24 za ligi daraja la kwanza na 16 za ligi kuu na kufikisha idadi ya timu 64.

Timu hizo ni :

1. Villa Squad.. Dar.. SDL
2. Makanyagio.. Katavi.. RCL
3. Buseresere.. Geita.. RCL
4. Shupavufc.. Moro.. RCL
5. Real mojamoja.. Iringa.. RCL
6. Majimaji Rangers.. Lindi.. RCL
7. Area c fc.. Dodoma.. SDL
8. Madinifc.. Arusha.. SDL
9. Ihefufc.. Mbeya.. SDL
10. Bomafc.. Mbeya.. SDL
11. Burkinafc.. Moro.. SDL
12. Makambakofc.. Njombe.. RCL
13. Bodabodafc.. Arusha.. RCL
14. Mji mkuu.. Dodoma.. SDL
15. Reha fc.. Dar.. SDL
16. Milambo.. Tabora.. SDL
17. Pepsi fc.. Arusha.. SDL
18. Eleven stars.. Kagera.. RCL
19. Afc.. Arusha.. SDL
20. Ambassadorfc.. Kahama.. RCL
21. Green warriors.. Dar.. SDL
22. Abajalo.. Dar.. SDL
23. Kariakoo lindi.. Lindi.. RCL
24. New generation/Sahare all stars

RCL.. Mabingwa wa mikoa

SDL.. Ligi daraja la pili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *