Tetesi za usajili barani Ulaya leo Alhamisi

Real Betis inaamini inaweza kumpata nyota wa Arsenal, Jack Wilshere kwa dau la usajili lisilo na malipo, yaani kumpata bure kwenye majira ya kiangazi yajayo.

Everton imeshindwa mbio na meneja wa Watford Marco Silva kwa dau la pauni milioni 1 0.

Pep Guardiola anafikiria kuongeza muda wa kusalia ndani ya Manchester City mpaka 2019.

Manchester City inahusishwa kutaka kumsajili  nyota wa Liverpool, Emre Can.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *