Stars kuingia kambini wikiendi kujiandaa kuwavaa Algeria na DR Congo

Taifa Stars

Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki katika kalenda ya FIFA inayoanza Machi 19 – 27, 2018 dhidi ya timu za Taifa za Algeria na DR Congo.

Stars itasafiri kuelekea jijini Algiers kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji Algeria Machi 22, 2018 katika uwanja wa

Mara baada ya mchezo huo dhidi ya Algeria, Taifa Stars itarejea nyumbani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Congo DR Machi 27, 208 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

One Comment

  1. Pingback: Stars kuingia kambini wikiendi kujiandaa kuwavaa Algeria na DR Congo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *