Simba kuanza na Green Warrios Kombe la Shirikisho

Droo ya Kombe la Shirikisho imefanyika na timu 64 zimepamgwa kucheza katiak hatua hiyo ya tatu itakayotimua vumbi Disemba 20-25 viwanja mbali mbali nchini.

Mabingwa watetezi wa Kombe hilo, klabu ya Simba watacheza dhidi ya Green Warriors, huku Yanga wakicheza na Reha FC zote za jijini Dar es salaam.

Washindi wa pili wa kombe hilo msimu uliopita, Mbao FC watacheza dhidi ya Makanyigio, ili Azam FC watacheza dhidi ya Area C ya Dodoma uwanja wa Chamazi.

Michezo mingine itakua mi kati ya:

Ruvu Shooting v Madini

Prisons v Abajalo

Njombr Mji v Mji Mkuu

Singida United v Boda Boda

Mwadui v Pepsi

Majimaji v New Generation

Boma v Ndanda

Stand United v AFC Arusha

Mbeya City v Ihefu

Mtibwa Sugar v Villa Squad

Kagera Sugar v Makambako

JKT Mlale v KMC

Mshikamano v Polisi Tanzania

Rhino v Alliance

Ashanti United v Friends Rangers

Toto Africans v Eleven Stars

Majimaji Rangers v Mbeya Kwanza

Milambo v Buseresere

Afruvan Lyon v Kiluvya United

Biashara United v Mawenzi Market

Mvuvumsa v JKT Ruvu

Coastal Union v Dodoma FC

Polisi Dar v Mgambo JKT

Kariakoo United v Transit Camp

Shupavu v Real Moja Moja

Mufindi v Pamba FC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *