Simba kuanza na Djibouti Kombe la Shirikisho Afrika

Ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrikq (CAF Confederations Cup) imetoka leo ambapo wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano hiyo klabu ya Simba, wataanza na Gendarmerie Tnale ya Djibout.

Katika ratiba hiyo, endapo Simba itafuzu hatua hiyo hiyo ya awali itacheza na mshindi kati ya El Masry (Misri) dhidi ya Green Buffaloes (Zambia) na mshindi wa jumla atafuzukwa hatua ya makundi.

Raiba kamili:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *