Philippe Coutinho avunja rekodi

Goli la Philippe Coutinho lavunja rekodi UEFA. Alipofunga goli lake la tatu usiku wa Jana alitimiza magoli 293 kwa hatua ya makundi pekee kwa msimu huu na hivyo kuipiku rekodi ya magoli 292 iliyowekwa msimu wa 2001-02.

Kiujumla yamefungwa magoli 306 katika hatua hii ya makundi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *