Orodha ya wachezaji 100 bora wa muda wote duniani, Maradona ampiku Messi

Mjadala wa mchezaji bora zaidi duniani kamwe hautaisha, Diego Maradona na Lionel Messi daima wataendeleza mvutano wa hoja katika mjadala huo mkali.

Haikkuwa jambo la kushangaza kwa wawili hao kukamata nafasi za juu katika orodha ya majina ya wachezaji 100 bora wa muda wote duniani iliyochapishwa na Jarida maarufu la FourFourTwo.

Maradona amekamata nafasi ya kwanza, Messi namba mbili akifuatiwa na Pele na Cristiano Ronaldo.

Messi na Ronaldo ndio wachezaji pekee wa sasa waliopenya katika nafasi 40 za juu huku Gianluigi Buffon akikamata nafasi ya 41 na Xavi nafasi ya 50.

Vigezo vilivyotumika ni umuhimu wao kwenye timu zao za taifa na klabu

Pata orodha kamili ya nyota 10 kwenye jedwali lifuatalo.

Wachezaji 10 Bora Duniani wa muda wote

NambaMchezajiTaifa
1Diego MaradonaArgentina
2Lionel MessiArgentina
3PeleBrazil
4Johan CruyffUholanzi
5Cristiano RonaldoUreno
6Alfredo Di StéfanoArgentina
7Franz BeckenbauerUjerumani
8Zinedine ZidaneUfaransa
9Ferenc PuskasHungary
10RonaldoBrazil

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *