Omog amuanzisha Pastory Athanas na Mo Ibrahim, Mavugo anachoma mahindi

Nahodha wa Simba B Moses Kitandu ataanzia benchi baada ya kupandishwa kikosi cha wakubwa.

Nahodha wa Simba B Moses Kitandu ataanzia benchi baada ya kupandishwa kikosi cha wakubwa.

Kocha wa Simba, Joseph Omog amewaanzisha Mohamed Ibrahim na Pastory Ibrahim katika safu ya ushambuliaji huku akimuacha benchi mshambuliaji Laudit Mavugo.

Athanas alisajiliwa wakati wa dirisha dogo kutoka Stand United.

Mshambuliaji Aliyepandishwa kutoka kikosi cha pili, Moses Kitandu amepata nafasi ya kujuimishwa katika benchi.

Kikosi: Daniel Agyei, Janvier Bokungu, Mohamed Hussein, Abdi Banda, James Kotei, Shiza Kichuya, Mzamiru Yassin, Pastory Athanas, Mohamed Ibrahim, Jonas Mkude.

Akiba: Peter Manyika, Hamad Juma, Laudit Mavugo, Saidi Hamisi, Jamal Mnyate, Moses Kitandu, Novalty Lufunga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *