Ngorongoro Heroes kuanza na DR Congo kufuzu Fainali za U20 Afrika

Shaban Zuneri Ada akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mali

Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20(Ngorongoro Heroes) imepangwa kucheza na DR Congo kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Vijana za Africa zitakazochezwa Niger mwezi Novemba.

Mchezo wa kwanza utachezwa Tanzania kati ya Machi 30,31 na April 1,2018 na ule wa marudiano utachezwa Congo kati ya Machi 20,21 na 22.

Mshindi katika mchezo huo atacheza na Mali katika raundi ya pili itakayochezwa kati ya Mei 11,12 na 13,2018.

One Comment

  1. Pingback: Ngorongoro Heroes kuanza na DR Congo kufuzu Fainali za U20 Afrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *