Na sisi tumo! Switzerland nayo hioo nchini Urusi!

Switzerland linakua taifa la 28 kufuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia mwakani nchini Urusi baada ya kulazimishana sare ya bila kufungana na Ireland ya Kaskazini kwenye mchezo wa marudiano.

Mchezo wa awali timu hio iliinyuka Ireland Kaskazini bao 1-0 na kuifanya sare ya usiku wa kuamkia leo kulipeleka moja kwa moja nchini Urusi taifa hilo.

Switzerland: Sommer (7), Lichtsteiner (6), Schar (6), Akanji (7), Rodriguez (7), Xhaka (5), Dzemaili (6), Zakaria (7), Shaqiri (7), Seferovic (3), Zuber (6)

Northern Ireland: McGovern (8), Hughes (8), Evans (7), McAuley (8), Brunt (7), Davis (7), Saville (6), Norwood (6), Dallas (6), Ward (7), Washington (6)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *