Mo aijaza minoti Simba

katika kile tunachokiita kutimiza ahadi bilionea namba 21 barani Afrika Mohammed ‘Mo’ Dewji amewajaza minoti Klabu ya Simba Sports.

IMG-20160802-WA0004

Mo ameikabidhi Simba mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Mikioni mia moja kwa ajili ya kusaidia usajili ndani ya klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa msimbazi jijini Dar.

Kiasi hicho cha fedha kimepokelewa na rais wa klabu hiyo Evance Aveva.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *