Mchezaji bora wa mwezi Ligi Kuu kupata tuzo, fedha na king’amuzi

CEO wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura akionesha tuzo atakayokuwa akipewa mchezaji bora wa mwezi Ligi Kuu Tanzania Bara.‬

‪Awali mchezaji bora alikuwa anapata pesa shilingi milioni moja na kuanzia sasa mbali na pesa atakuwa pia akipata king’amuzi cha Azam Tv na tuzo‬

Bodi ya Ligi kwa kushirikiana na Kamati ya tuzo humtangaza mchezaji bora wa Ligi Kuu kila mwezi na kukabidhiwa zawadi ya peaa taslimu na wadhamini wakuu wa ligi kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *