Makoye Cosmas kutoka Nyakato Mwanza, akabidhiwa TVS King Deluxe na SportPesa

Timu ya SportPesa kwa mara nyingine ilifika Nyakato mkoani Mwanza kukabidhi TVS KING DELUXE kwa mshindi wa droo ya 22 ya SHINDA NA SPORTPESA iliyofanyika tarehe 16th Novemba ambapo ndugu Makoye Cosmas (30) anayejishughulisha na kazi ya ufundi (fundi muashi) alijishindia zawadi hiyo.

Mshindi alikabidhiwa bajaji hiyo ikiwa mpya kabisa. Mshindi aliwasihi vijana wenzake waweke ubashiri na SportPesa ili nao waweze kubahatika kama yeye.

Akipokea funguo za bajaji hiyo kwa furaha, Makoye amesema kuwa ataitumia bajaji hiyo kwa shughuli za biashara ili kumuongezea kipato

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *