Makapu amweka benchi Zulu kikosi cha Yanga dhidi ya African Lyon

Makapu

Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina kwa mara nyingine tena amemweka benchi kiungo mpya Justine Zulu na kuamua kumuanzisha Said Juma ‘Makapu’.

Kikosi: Deogratius Munishi, Juma Abdul, Mwinyi Haji, Kevin Yondani, Vicent Bossou, Said Juma, Simon Msuva, Thaban Kamusoko, Amissi Tambwe, Haruna Niyonzima, Deus Kaseke.

Akiba: Ali Mustapha, Hassan Hamisi, Andrew Vincent, Justine Zulu, Obrey Chirwa, Emmanuel Martin, Geoffrey Mwashiuya.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *