Ligi ya Mabingwa wa Mikoa kuanza Mei Mosi, timu 28 kushiriki

Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 01, 2018 katika Vituo vinne vya mikoa mbalimbali Tanzania Bara msimu wa 2017/2018.

Timu hizo 28 zinatoka katika mikoa 26 ya Kisoka Tanzania Bara, huku mkoa wa Dar es salaam ukiwa na timu 3 kutoka na hadhi yake ya kisoka nchini.

Mikoa iliyowasilishwa majina ya mabingwa wao ni:

DAR ES SALAAM (Karume Market, Ungidoni FC, Temeke Squard)

PWANI (Stand FC),

MOROGORO (Moro Kids FC),

DODOMA (Gwassa Sports FC),

SINGIDA (Stand Dortmund),

TABORA (Tabora Football Club),

KIGOMA (Red Stars FC),

GEITA (Gipco FC), KAGERA (Kumunyange FC), MARA (Nyamongo FC), MWANZA (Fathom Sports Club), SHINYANGA (Zimamoto FC), SIMIYU (Ambassador FC), MANYARA (Usalama Sports Club), ARUSHA (Bishop Durning Sports), KILIMANJARO (Uzunguni FC), TANGA (Sahara All Stars), LINDI (Majimaji Rangers), MTWARA (Mwena FC), RUVUMA (Black Belt), NJOMBE (Kipagilo FC), SONGWE (Migombani FC), MBEYA (Tukuyu Stars), IRINGA (Iringa United), RUKWA (Laela FC), KATAVI (Watu FC).

One Comment

  1. Pingback: Ligi ya Mabingwa wa Mikoa kuanza Mei Mosi, timu 28 kushiriki

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *