Ligi ya Mabingwa, Shirikisho Afrika sasa kuchezwa kama Ulaya Septemba – Mei

Kamati ya Utendaji CAF imepitisha mabadiliko yamichuano ya Ligi ya Mabingwa Afirka (CL) na Kombe la Shirikisho (CC) mwaka 2019 itaanza mwezi Septemba na kumalizia mwezi Mei, 2010.

Kalenda hiyo mpya ya Septemba mpaka Mei itafanya kwenda sambamba na kalenda ya Ulaya inayotumika katika michuano ya vilabu UEFA na Europa.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *