Kikosi cha Yanga kitakachoshiki michuano ya CAF

Klabu ya Yanga itashirki michuano ya kimataifa ya CAF, Ligi ya Mabingwa Afrika itakayoanza kutimua vumbi Februari 09-11, 2018 kwa hatua ya awali.

Katika usajili wake, Yanga imeajili wachezaji 29 na kubakisha nafasi ya mchezaji mmoja tu endapo itafuzu hatua ya makundi.

Wachezaji waliosajiliwa ni :

Magolikipa
-Youthe Rostand
-Beno Kakolanya
-Ramadhani Kabwili

Walinzi
-Juma Abdul
-Hassan Kessy
-Haji Mwinyi
-Gadiel Michael
-Nadir Ally Haroub
-Andrew Vicent Chikupe
-Kelvin Patrick Yondani
-Abdalah Shaibu
-Festo Kayemba

Viungo
-Papy Kabamba Tshishimbi
-Raphael Daudi Loth
-Pato Ngonyani
-Said Juma Makapu
-Thaban Kamusoko
-Pius Chalres Buswita
-Juma Mahadhi
-Emmanuel Martin
-Geofrey Mwashiuya
-Said Mussa Bakari

Washambuliaji
-Amis Tambwe
-Donald Ngoma
-Obrey Chirwa
-Yusufu Mhilu
-Ibrahim Ajibu
-Matheo Antony
-Yohana Mkomola

By Samuel Samuel

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *