Kikosi cha Singida United leo dhidi ya Lipuli

Kikosi cha Singida United kilichoanza dhidi ya Yanga hio jana.

Kocha wa Singida United, Hans Van der Pluijm ametangaza kikosi cha wachezaji 11 watakaonza katika mchezo dhidi ya Lipuli leo jioni uwanja wa Namfua mjini Singida.

Katika kikosi cha leo, Hans amefanya mabadiliko machache kutoka katika kikosi kilichocheza mchezo wa mwisho dhidi ya Yanga na kumalizika kwa sare ya 0-0.

Kikosi cha leo cha Singida United:
GKManyika Peter Jr -Michael Rusheshangonga, Shafiq Batambuze, Elisha Muroiwa, Kennedy Juma – Mudathir Yahya, Mitchelle Katsvairo, Tafadza Kutinyu, Kiggi Makasy- Danny Usengimana, Simbarashe Nhivi

Wachesaji wa akiba:
GK Ally Mustapha, Atupele Green, Miraji Adam, Salum Chuku, Yusuph kagoma, Rolland Msonjo, Elinyesia Sumbi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *