Kikosi cha Simba dhidi ya Prisons, Okwi, Juuko, Mwanjale jukwaani

Joseph Omog kocha mkuu wa Simba SC amefanya mabadiliko ya wachezaji 3 katika kikosi chake kinachoanza dhidi Prisons leo jioni.

Mlinzi Yusuf Mlipili, Mwinyi Kazimoto wanaanza wakichukua nafasi za Juuko Murushid na Emmanuel Okwi ambao leo hawapo hata benchi, huku John Bocco akianza badala ya Laudit mavugo.

Kikosi kamili cha Simba:

GK Aishi Manula – Erasto Nyoni, Mohamed Hussein, James Kotei, Yusuph Mlipili – Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Mzamiru Yassin, Mwinyi Kazimoto – John Bocci, Haruna Niyonzima.

Wachezaji wa akiba: GK Emmanuel Mseja, Ally Shomary, Mo Ibrahim, Juma Liuzio, Laudit Mavugo, Jamal Mnyate, Nicholaus Gyan

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *