Kikosi cha Kilimanjaro Stars kinachoanza dhidi ya Zanzibar Heroes

Kocha wa Kilimanjaro Stars, Ammy Ninje ametangaza kikosi cha wachezaji 11 watakaianza dhidi ya Zanzibar Heroes leo katika michuano ya Kombe la Chalenji.

Katika kikosi cha leo amerejea nahidha Himid Mao aliyeukosa mchezo wa kwanza dhidi ya Libya huku mshambuliaji Danny Lyanga akianza badala ya Mbaraka Yusuph alite majeruhi.

Kilimanjaro Stars:

GK Aishi Manula – Erasto Nyoni, Gadiel Michael, Kennedy Juma, Kelvin Yondani – Abdallah Hamis, Himid Mao, Mzamiru Yassin – Shiza Kichuya, Elias Maguri, Danny Lyanga

Wachezaji wa akiba:
GK Peter Manyika Jr -Boniface Maganga, Mohamed Hussein, Jonas Mkude, Raphael Daudi, Abdul Hassan, Aman Kiata, Ibrahim Ajibu, Yahya Zaydi, Yohana Mkomola

One Comment

 1. FirstMargareta

  December 10, 2017 at 9:09 pm

  I see you don’t monetize your site, don’t waste your traffic,
  you can earn extra cash every month because you’ve got high quality
  content. If you want to know how to make extra bucks, search for:
  Boorfe’s tips best adsense alternative

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *