Kauli zilizobamba Ligi Kuu Tanzania Bara mwaka huu

Makocha, wachezaji na viongozi wa soka nchini wametoa kauli mbalimbali katika matukio yaliyotokea ndani na nje ya uwanja mwaka huu.

Zifuatazo ni kauli zilizoteka zaidi hisia za wengi kwa kuibua mjadala, maswali na majibu mbalimbali miongoni mwa mashabiki na wadau wote wa soka katika mtandao wako wa Soka360

 

  1. Kavumbagu amwita Stewart Hall Mzungu Mweusi

Mshambuliaji wa zamani wa Azam na Yanga, Didier Kavumbagu alimshutuhumu kocha wake wa zamani, Stewart Hall kwa kuwa mbaguzi na kumfananisha na ‘mzungu mweusi’.

Ikumbukwe Kavumbagu hakupewa nafasi kubwa ya kucheza na kocha Stwart Hall jambo lililochangia kutoongezewa mkataba na Azam.

Nukuu_Kavumbagu

 

2. Azam wanavunja falsafa za Uingereza

Kocha mkuu wa Azam, Zeben Hernandez alitabiri timu yake kuchukua muda kuzoea falsafa za Hispania baada ya mchakato wa kuvunja falsafa za Kiingereza chini ya Stewart Hall.

Nukuu_Zeben

3. Kilio cha Julio

Aliyekuwa kocha wa Mwadui, Jamhuri Kihwelu alishangazwa na kutoteuliwa kugombea kuwania tuzo ya kocha bora msimu uliopita.

Nukuu_Julio

4. Kessy alia kufanyiwa figisu

Sakata la usajili wa Hassan Hamisi ‘Kessy’ lilichukua muda mrefu kupata suluhisho huku kila upamde ukitoa maneno ya lawama. Kessy alinukuliwa akilia na Simba kwa kumfanyia figisu.

Nukuu_Kessy

5. Kilio cha Julio

Aliyekuwa kocha wa Mwadui, Jamhuri Kihwelu alikuwa mstari wa mbele kuwalaumu waamuzi kwa ‘kumharibia kazi na kumnyima ushindi’ kiasi cha kuamua kuachana na kibarua cha kuinoa timu hio

Nukuu_Julio_02

6. Yanga sio masufuria ya kukodishwa

Mzee Akilimali akipinga kukodishwa kwa Yanga kama masufuria ya shughuli

Nukuu_Akilimali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *