Hamburger yaifunga Hoffenheim 

Ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga iliendelea Ijumaa Hii Kwa mchezo mmoja wa utangulizi kati ya Hoffenheim Na Hamburger SV.  

Katika mchezo huo uliotumua vumbi katika dimba la Wirsol Rhein-Neckar Arena, Ulishuhudia wageni Hamburger SV wakinyakua pointi tatu muhimu Baada ya kuwafunga wenyeji Hoffenheim Kwa bao 1-0.

Bao Hilo la ushindi lifungwa kwenye dakika 88 Na Pierre-Michel Lasogga.

Ratiba ya Bundesliga wikiendi hii:

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *