Dr Shein awazawadia Viwanja Zanzibar Heroes

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Shein amewatunuku wachezaji na viongozi wa ZANZIBAR HEROES wapatao 33 kiasi cha Shilingi Milioni 3 kwa kila mmoja pia Kiwanja kwa kila mmoja.

Kwa kuboresha Rais Dkt. Shein amesema viwanja vyote 33 vitakuwa pamoja kama Kijiji na amesisitiza viwanja hivyo wasiviuze ili pabaki kama kijiji cha kumbukumbu ya mashujaa.

Hafla ya kuwapongeza inaendelea sasa kwenye Channel 114 ZBC!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *