Barcelona kulipa kisasi na kuandika historia?

FC Barcelona wanatafuta ushindi ili kufikia rekodi ya Uhispania kucheza michezo 34 bila kupoteza kwenye Msimu moja.

image

Rekodi hiyo ambayo inashikiliwa na mahasimu wao wakubwa Real Madrid ambayo mnamo msimu wa mwaka 1988-89.

Barcelona wana wakaribisha Sevilla FC nyumbani kwao Nou Camp. Ikimbukwe Luis Enrique kinara wa ligi hiyo ya
Uhispania alipokea kipigo cha 2 – 1 alipokutana na Ramon Sanchez Pizjuan katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi.

Hapa FC Barcelona wamepata nafasi ya kulipa kisasi na kuweka historia pia. Ushindi kwa FC Barcelona leo unamaana sana kwa ajili ya kutetea taji lao la ligi, pia kwa ajili ya kumbukumbu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *