Bajaj TVS King Deluxe yatua Namanga Arusha

Kampuni ya Michezo ya kubashiri nchini leo imekabidhi bajaji nyingine aina ya TVS KING DELUXE kwa mshindi Iriel Zacharia wa Namanga, Buguruni Mkoani Arusha.

“Mimi nilifundishwa kubet na rafiki yangu kutoka Arusha na alivyonifundisha aliniambia kwanza kabisa nidownload application ya SportPesa mpaka sasa nimebet sana na saa zingine bahati haiangukiaa kwangu huwa napoteza pesa”

“Nakumbuka ilikuwa siku ya Jumamosi nilipokea simu kwamba nimekuwa mshindi wa promosheni yenu, sikuamini lakini nilivyokuwa napigiwa simu kwamba nitume baadhi ya taarifa zangu na kusikia jina langu linatajwa kuwa nimeshinda promosheni hii ndipo nilipoanza kuamini”

“Nimesubiri baada ya wiki moja kabla ya kupata bajaji yangu, na malengo yangu na hii bajaji ni kuifanyia biashara na kuhakikisha inaniongeze kipato na mama atakaa dukani kusimamia kazi zangu”

“Kwanza ukitaka kuamini kuwa SportPesa sio wa mchezo mchezo ile ukibet tu na mechi kabla haijaisha mshiko unauona huo unaingia mezani”alimaliza Iriel

Naye mke wa Iriel, Elizabeth Mafiye aliongeza kwa kusema kwa sasa tunafuraha ya ajabu maana hii bajaji itatusaidia kukuza mtaji na mm ntasimamia biashara ya mume wangu huku yy akisimamia bajaji na kwa hakika watoto wetu watasoma kwa amani maana ada yao ya shule haitatoka kimawazo kama zamani”

Mpaka sasa zimebaki bajaji 37 zikisubiri washindi kutoka kona mbali mbali ya nchi, nawasihi watanzania ambao ni wapenda soka na wengineo washiriki katika promosheni hii kuhakikisha wanashinda bajajo ili kujikwamua kimaisha, alimaliza kueleza kwa upande wa SportPesa Ndugu Tarimba Abbas ambaye ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji SportPesa Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *