Atupele Green atua Kagera Sugar

Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Atupele Green akiwatoka walinzi wa Ashanti United.

Baada ya kuachana na Singida United mshambuliaji wa kati Atupele Green amejiunga na Kagera sugar katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo.

Mapema juma hili Singida United walitoa taarifa ya mshambuliaji huyo kuandika barua ya kuomba kuachwa na klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni kutafuta timu itakayompa nafasi ya kucheza zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *