Ashley Young afungiwa mechi 3 EPL

Beki wa Manchester United Ashley Young amefungiwa kucheza michezo Mitatu baada kukutwa na hatia ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Southampton Dusan Tadic siku ya Jumamosi.

Kutokana na kufungiwa michezo hiyo, Young atakosa mechi dhidi ya Everton leo, Derby Country katika FA na mchezo dhidi ya Stoke City..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *